Yule mtunzi mahili wa simulizi za kusisimua Mzee Bauji Mbwana ambaye alikuwa akiwakamata vilivyo mashabiki wa simulizi katika magazeti ya Ambha na Sani sasa yuko chimbo akiandaa bonge la muvi. Anakuja na sura mpya kabisa lakini matata mno. Huyu mzee ndiye aliyegundua kipaji cha Riyama Ally mpaka sasa amekuwa staa mkubwa wa filamu. Isubiri muvi yake uone
No comments:
Post a Comment