Tuesday, May 22, 2012

TUNA KULA BATA KWA RAHA ZETU KUFA NDO HUKO KWAJA!


Dogo haya sasa kazi kwako mzigo ndo huo mbele yako ushindwe mwenywe!


Efracia na mwenzio mko juu kama matawi ya manazi kuleni bata mwayaaa!
Mapacha wawili wakiwa kwenye picha ya pamoja.Lakini Dida hiyo staili ya vidole ishara gani?

Mmh wadau mmemcheki Kuku mtamu anavyozungusha nyoga? anaitwa Ant Asu balaaa!

No comments:

Post a Comment