Friday, May 18, 2012

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA WASANII....

Washiriki wa wakiwa kwenye picha ya pamoja
Otiria mcheza shoo wa Extra Bongo akiwa na shabiki wake
Nicha akimbusu shostiko wake kama walivyokutwa na kamera za SANI
Mzee Chilo ambae nae alikuwa jaji kwenye mchakato huo
Mwanamuziki Manaiki aliponaswa na akila bata ufukweni
Mariamu Mndeme akiwa na washiriki wa Filamu mpya ya Tatakoa
Dotnata akiwa na majaji waliopewa jukumu la kuwachagua wasanii wachanga

No comments:

Post a Comment