Tuesday, May 22, 2012

MAMBO YA FULL BATA HAYA

Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa akiteta jambo na shabiki ambaye alionekana kukunwa mtima wake na mwanamuziki huyo.
Miss Ruvuma zilipendwa Isabela Mpanda wikiend alimaliza kwa staili hii ya kidole juu. Utamtaka?
Msanii wa filamu Bongo Chid Wambele, akiwa Leaders Club Kinondoni jijini Dar
Raha ya taarab ndiyo hii jamani, mtu unasusiwa kiuno chote kazikwaku tu kuzunguka nacho.

No comments:

Post a Comment