Aliyekuwa mke wa mwanamuziki Bob Junior Bi. Halima au Ritha (mbele) amesema kuwa hata Issa Bin Mariamu arudi Duniani hawezi kuthubutu kumrudia msanii huyo na kwamba kinanchomsumbua Bob Junior ni kukosa elimu ya kutosha.
"Siwezi kusema najuta kuolewa naye kwa sababu haya ni mapito tu. Ila nimemfuta akilinimwangu na daima simfikirii kabisa" alisema Halima. Wawili hao waliachana mwishoni mwa mwaka jana baada ya Halima kudaiwa kufuma chupi za wanawake zilizovaliwa katika begi la mumewe huyo.Bob Junior alikanusha kuwa chupi hizo hazikuwa za wanawake ila za msanii mwemzake Bonge la Nyau
No comments:
Post a Comment