PAPAAA JACKOB THE BEST DOLLALI ZINAPOTEKETEZWA
Anaitwa Papaa Jackob The Best. Nimdogo wa mdau maarufu wa mastaa Bongo Mama Loraa Masai na kati ya Mbezi Beach. Ukimtazama hapo juu alipanga kuliteketeza burungutu la dola halali za kimarekani kwa sikumoja. Jamaa ni noumaaa! Anaishi nchini Africa Kusini. Lakini pia katika nchi za Botswana, Swazland, Zambia, Msumbiji na Lesotho pamoja na nchi nyingi sana Duniani. Kwanini asifanye kufuru. Ukimsalimia tu mambo unapigwa na buku kumi.
No comments:
Post a Comment