Aisee kunastaili zingine za wasanii balaa! Hebu angalia hiyo staili ya Ally Choki. Balaa tupu. Unaweza kuuita unaonavyo wewe. Ahaaa! Huenda ndiyo ya KIZIGO inayotumiwa na bendi yake ya Extra Bongo 'Next Level' Wazee wa Kizigo. Hii ilikuwa ni Dar Live Mbagala.
No comments:
Post a Comment