Friday, January 17, 2014

MJUKUU WA MBUA DULLA NDANI YA BIG JAHMAN FASHION KARIAKOO



Mtangazaji wa kituo cha  East Africa TV Channel 5 na East Africa Radioakiongoza kipindi  bomba cha Planet Bongo Dullah aka Mjukuu wa Mbua alinaswa akifanya bonge lashopping katika moja ya maduka ya mwanamuziki Big Jahman yaliyopo Kariakoo jijini Dar. Maduka haya ndiyo yanayomng'arisha mtangazaji huyo nawasanii wengine kibaoo. Tembelea mwana kuna pambaza uhakika balaaaa1

No comments:

Post a Comment