Tuesday, July 3, 2012

TAMASHA LA WASANII WA BONGO MUVIES TANGA NI BALAA

Ray, Cloud NA JB WAKIFUATILIA MPANGO MZIMA

WASANII WA KITOA MSAADA KATIKA HOSIPITALI YA BOMBO WODI YA WAZAZI



RAY AKIWA NA ROSE NDAUKA WAKIPOZI KWA PICHA BAADA YA KAZI NZITO YA KUTOA MSAADA






TIMU YA BONGO MUVIES TAYARI KWA KUANZA KUTOA MSAADA WA VYANDARUA






MPANGO MZIMA WA BONANZA HILI ULIDHAMINIWA NA TBL KUPITIA KINYWAJI CHAKE KISICHO NA KILEVI CHA GRAND MALT

PICHA HIZI NI KWA HISAN YA BLOG YA RAY iitwayo raythegreatest.blogspot.com








No comments:

Post a Comment