Tuesday, July 3, 2012

MAMBO YA SABASABA HAYOOO YAMEANZA

Simba aliyekaushwa akiwa katika banda la Maliasili na Utalii kwenye viwanja vya maonesho ya biashara JK Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar yaliyoanza hivi karibuni
WATOTO WA DADISI WAKIPATA MAELEZO KWENYE MOJA YA MABANDA YA BENKI YA NMB SABASABA JUU YA HUDUMA ZA BENKI HIYO




No comments:

Post a Comment