Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaun, hali hiyo imetokea kwa wakazi wa Kiwalani maarufu kwa Gude baada ya mc mmoja maarufu aliyefahamika kwa jina la Faudhia Hassani baada ya kufungua kituo cha Massage kwa ajili ya kufasisha maumbile ya akina mama pamoja na akina baba.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na gazeti hili kituo hicho kinachoitwa Fau Classic& Massage kilichopo maeneo ya Kiwalani kwa Gude Jijini Dar huku wananchi mbalimbali wakazi wa eneo hilo wakishikwa na butwaa na kushindwa kuamini tukio hilo.
Gazeti baada ya taarifa hiyo lilifunga msafara hadi maeneo hayo ambapo lilishuhudia foleni ya wakina mama na wakina baba wakipishani kwenye kituo hicho kwa ajili ya kupata huduma hiyo kilichofungulia rasmi leo hii.
Wakiongea na mwandishi wetu majirani wa kituo hicho walisema kuwa wanahofu sana na kituo hicho kwani huenda kitaleta madhara makubwa sana kwa kwenye ndoa zao" Huyu Fao ameajiri wasichana warembo kibao ambao kazi yao ni kuwafanyia massage wanaume za watu sasa hii si hatari kwa ndo zetu jamani tunaomba Serikali ya mtaa iliangalie hili" Alisema Mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mama Amina
Hata hivyo baada ya madai hayo mwandishi wetu alijitosa ndani ya kituo hicho na kujionea maajabu hayo pamoja na kuongea na mmiliki wa kituo hicho gazeti hili lilishuhudia burudani inayofanyika humu ndani ambapo kituo hicho kinavyumba kibao ndani ambavyo vimeganywa upande wanaume upande wanawake huku watu wakipishana kila kona.
Faudhia aliiambia blog hii kuwa anamiliki kihalali kituo hicho hivyo haogopi maneno ya majirani" Kaka angu hapa panamilikiwa na kihalali na kusema kwamba wafanyakazi wangu wanachukuwa waume za watu si kweli mbona pia nina wavulana hao kwa ajili ya kuwahudumia wakina mama hadi wazungu wako hapa hizo taarifa ni majungu tu ndugu yangu" Alisema Faudhia.

No comments:
Post a Comment