
Habari za kiudaku zimetonya kuwa msanii nyota wa kike wa filamu Bongo Jack Wolper nyodo zoote alizokuwa nazo huenda zikafikia ukingoni kutokana na kunyang'anywa gari yake ya bei mbaya aliyokuwa amepewa na mshefa wake.Mara kadhaa Wolper alikuwa akijinasibu kuwa mkoko huo ni wake na hakununuliwa na mshefa wake.Kwa maana hiyo Wolper ambaye alibadilishwa dini na kibuzi chake huenda akarudi kwenye dini yake ya kikristo kutoka kwenye usislamu.
No comments:
Post a Comment