Wanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta wakiwa katika pozi.Bendi hiyo kwa sasa inapigwa tafu mno na bendi mpya ya Twanga Pepeta Academia ambayo inakuja kwa kasi mno kwenye tasnia ya muziki.Twanga inapiga kila Jumamosi ndani ya ukumbi wa Mango Galden Kinondoni, kila Jumapili hutumbuiza Bonanza pale Leaders Club Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka 'The Iron Lady' amesema kuwa piga ua bendi yake haiwezi kusambaratika hata kama watachukua wasanii wake wote yeye mwenyewe anaweza kuimba.
No comments:
Post a Comment