Tuesday, June 19, 2012

MKOKO MPYA WA MWANAMUZI DIAMOND

Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni 60 keshi.Jamaa amevuta mkoko huo baada ya kukamilisha pia mjengo wa mamilioni ya fedha.Kwa ujumla muziki umemlipa kinoma mshikaji kiasi kwamba anafanya vitu vikubwa mno

No comments:

Post a Comment