
Diamond akionesha ndinga hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa mpango mzima wa kuingia kwake hapa Bongo, Diamond alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini kuna mambo kadhaa yakawa yanachelewesha PICHA KWA HISANI YA Blog ya DJ FETTY
No comments:
Post a Comment