Tuesday, June 19, 2012

WE LINA UNATETA NINI NA JACKSON?

Mwanamuziki nyota wa kike Lina akiteta jambo na mdau wa miss Tanzania Jackson wakati wakiingia kwenye ukumbi wa Tent Hoteli Golden Tulip kushuhudia kinyang'anyiro cha Reds Miss Dar City Centre.

No comments:

Post a Comment