Mfanyabishara maarufu nchini, na mdau mkubwa wa sanaa ya muziki na urembo, pedeshee Muzamili Katunzi (mwenye grass) akiwa pamoja na wadau ndani ya ukumbi wa Tent katika Hoteli ya kitalii ya Golden Tulip jijini Dar es Saaam.Muzamili na pedeshee mwenzake Charles Mtawali wamejitolea kutoa gari kwaajili ya mshindi wa Miss Ilala.Katunzi anamiliki kampuni ya Muzasha Tours inayokodisha na kuuza magari ya maana kwa jili ya shughuli za kitalii na nyingine muhimu. PICHA NA KARIMU MTIMANDOLE 0713 344477
No comments:
Post a Comment