UMEWAONAAA?
Pedeshee maarufu nchini ambaye alitungiwa wimbo maalumu na bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact 'Vijana wa Masauti' uitwao Muzamili, Papaa Muzamili Katunzi akiwa na mkewe ndani ya Hoteli ya Goleden Tulip wakati wa shindano la Miss Dar City Centre.
No comments:
Post a Comment