Tuesday, June 19, 2012

MUSSA BABAZ PEDESHEE MAARUFU BONGO



Pedeshee maarufu Bongo anayejitolea kuwasaidia wasanii kibao akiwemo Sheta, Tunda Man, Husein Machozi, Ram K akifuatilia kwa karibu shindano la Reds Miss Dar City Centre katika Hoteli ya Kitalii jijini Dar akiwa na wadau wengine.Mdau huyu amepania kuidhamini Blogi hii ya kijamii ili iweze kubamba vilivyo na katika pati hiyo alidhamini mapaparazi wetu kwa vinywaji, chakula na usafiri.Makofi kwa Mussa Babaziiiiiiii.

No comments:

Post a Comment