Tuesday, June 19, 2012

BABY SHOWER YA MDAU WETU CHRISTABELLA

Hivi karibuni mdau wetu na mfanyabishara maarufu Bongo.Mwanada anayejishughulisha Chrissta Bella (kushito anayekata keki) alifanya bonge la Pati la Baby Shower lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar.

Pati ilihudhuriwa na watu kibao wakiwemo mastaa.Ilikuwa ni baab kubwa mno kiasi kwamba kila aliyeichungulia hakuacha kuifagilia.Makuku, makulaji na vinywaji vya kumwagaa.Watu walijichana ile mbaya.


Christa kwa sasa ni mjamzito.Jamani tumuombee ajifungue salama

No comments:

Post a Comment