Tuesday, June 19, 2012

MAPEDESHEE





Hapa Muzamili Katunzi akiwa na mdau wake mkubwa wakifuatilia kwa karibu shindano la MIss Dar City Centre ndani ya Hoteli ya kisasa ya Goleden Tulip Jijini Dar. Wawili hao wamejitolea kutoa gari kaliiiiiii kwaajili ya mshindi wa taji la Reds Miss Tanzania Wilaya ya Ilala .Safiiiiii. PICHA ZOTE NA CHRISTOPHER LISSA 0654 58 67 88

No comments:

Post a Comment