Tuesday, June 26, 2012

MAUNO YA ZEMBWELA



Ebwana unacheki mauno ya Zembwelaaa? Balaa.Hii ilikuwa ni wakati wa bonanza la Safari Lagger kuwawezesha wajasilia mali lililofanyika viwanja vya Leaders Club Kinondoni wikiend hii.

No comments:

Post a Comment