Monday, June 25, 2012

USIKU WA WEMA SEPETU BALAAA

Watoto bomba wakiuza sura wakati wa kupati ndani ya Kilimanjaro Kempinsk Hotel jijini Dar hivi karibuni.Kulikuwa pia na utambulisho wa filamu mpya ya Wema iitwayo The Super Star.Balaa. Watu walikula na kulewa.Duh!

No comments:

Post a Comment