JAMANILUNGI AMEFUNGUA PUB YAKE BOMBA

Jamani mdau wetu Bibie Lungi amefungua Pub yake ya Ukwe e pale Kinondoni karibu na Baa ya Stereo.Iko Bomba kinoma.Makunywaji ya kila aina yanapatikana.Anahudumia mwenyewe.Mastaa kibaoooo wanafurika pale.Sijui pombe zake ni tamu sana.Haya kama ujafika ndiyo uende tena ukamuungishe
No comments:
Post a Comment