Hii ni nyumba ya kigogo mmoja ambaye hivi sasa anachunguzwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Jumba lake liko Mbezi ya Kimara ndanindani huko. Anaijenga kwa siri kubwa baada ya kuchota mabilioni ya fedha za umma.Huyu bwana alipigwa chini kwa ubadhirifu mkubwa katika shirika kubwa sana la Umma hapa nchini. Data zake zinakuja baada ya kukamilisha kuzikusanya na tutamlipua bila huruma
No comments:
Post a Comment