Saturday, January 4, 2014

SHOW YA DIAMOND MTWARA ILIKUWA NOUMAAAA!


Bado Diamond ndiye msanii anayeongoza kwa kugonga shoo zinazojaza nyomi mbaayaa!Hii ilikuwa Mtwara a.k.a Ntwara hukoooo Kusini mwa Tanzania. Ilikuwa ni soooo! Wasafiii kwenye steji utawatakaaa! Lazima awakalishe. Hii ni kwa hisani ya Website ya Diamond www.thisisdiamond.com

No comments:

Post a Comment