Mwanamke huyo ambaye kwa hivi sasa anaendelea na matibabu katika
Hospitali ya Wazazi ya Meta akiwa na watoto wake wote wanne alijifungua
majira ya saa 10 alfajiri usiku wa kuamkia Januari Mosi Mwaka huu
katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi na watoto wakiwa na uzito wa kawaida
tofauti na matarajio ya Wengi.
No comments:
Post a Comment