SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA SOKA(FIFA) LIMEWAPATIABEJI WAAMUZI 10 WA TZ KWA MWAKA 2014. WAAMUZI HAO NI RAMADHANI IBADA, ODEN MBAGA,ISRAEL MUJUNI NA WAZIRI SHEHA WATAKAO KUWA WAAMUZI WA KATI. WAAMUZI WASAIDIZI NI JOSEPH BULALI, FERDINAND CHACHA, HAMIS CHANGWALU, JOHN KANYEY NYE, ALI KINDULI, ERASMO JESSE NA SAMUEL MPENZU.
No comments:
Post a Comment