BIG UP SANA KWA MTAALAMU WANGU ROBERT 'ROBI[ a.k.a ANKO MKUBWA. MTAALAMU WANGU WA IT AMBAYW AMEREKEBISHA MITAMBO NA KUIFANYA BLOG HII YA JAMII KUREJEA HEWANI.TUNAJIMWAGAJE? KUPITIA BLOG HII UTAKUWA UKIPATA HABARIMBALIMBALI ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MATUKIO, KATUNI NA SIMULIZI ZA KUSISIMUA.UTASOMA GAZETI LA SANI, KIU NA SURA YA MTANZANIA PAMOJA NA MAGAZETI MENGI. JIPANGE MZAZI. UNAWEZAKUWASILIANA NASI KWA 0654 586788 au chrisslissa1981@yahoo.com
No comments:
Post a Comment