Maimartha Jesse akiwa hoi ndani ya duka lake lilipo Manyanya Kinondoni jijini Dar kama alivyo naswa na kamera yetu.Inaelezwa kuwa presha ilikuwa imepanda alipotaka mahakama ya mwanzoKinondoni.Katika kesi hiyoameshitakiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya African Starz Entertainment Tanzania 'ASET. Asha Baraka 'The Iron Lady' akimtuhumumtangazi huyo kuwa amekuwa akimdhalilisha katika mitandao ya jamii,magazeti nasimu za mkononi. Hivyo Asha Baraka anamdai Maimartha fidia ya Sh. Milion tano
No comments:
Post a Comment