LICHA YA UMATI MKUBWA WA WATU:LAKINI WAFUASI WA CCM WAENDELEA KUZOMEWA SEHEMU TOFAUTI WAKATI WANAELEKEA VIWANJA VYA JANGWANI!
Wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakielekea kwenye viwanja vya Jangwani kwa ajali ya kuhudhulia mkutano wa chama hicho.huku kukiwa na taarifa kuwa huko njiani wafuasi wengi wamekuwa wakizomewa na wananchi mbalimbali wakati wanaelekea huko katika magari yao.
No comments:
Post a Comment