BAADA YA KULA THE NONDOZ
Baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali katika chuo cha uhazili Magogoni wakijiandaa kupokea vyeti vyao wakati wa mahafali ya chuo hicho yal;iyofanyika viwanja vya Leaders Club Kinondoni hivi karibuni na kufuatiwa na bonge la Pati katika ukumbi wa Chuo hicho kilichopo eneo la Magogoni katikati ya jiji la Dar es Salaam mkabala na Ikuru.PICHA NA CHRISTOPHER LISSA
No comments:
Post a Comment