
Mtoto anakosha kila mwanaume anayeingia katika Pub Hiyo.Wapo wanaomshangaa kwa uzuri alionao kufanya kazi ya baa tena uhudumu.
Wapo ambao walifikia hata hatua ya kumchukua jumla ili wampe shavu hata katika filamu zao.Lakini hakuweza kutimiziwa ahadi zao.
Binti anapenda saaaana kucheza muvi na anapenda sana kubadilishiwa maisha, ingawa elimu yake ni ndogo na hili ndiyo tatizo.
Jamani wadau Lightness anahitaji sana msaada wako wa kimawazo jinsi ya kubadili staili ya maisha yake, kuondokana na kazi ya ubaamedi. Kwa yoyote anayetaka kumsaidia hasa kwa kumpa kazi nyingine ya walau au shavu katika filamu basi atwange namba 0654586788 Hii ni namba ya mhariri wa Blog hii na utaunganishwa moja kwa moja na bintiiii.Usipib bora utume SMS.
No comments:
Post a Comment