
Baada ya kusumbua sana na ngoma yake ya Bongo Flava, Dully yuko chimbo tena ndani ya studio zake za Dhahabu Records zilizopo Tabata jijini Dar akiwa na Mwana FA a.k.a Binamu na AY.Wanajiandaa kuachia bonge moja la ngomaaaa!
"Aisee itakuwa ni ngoma kali mno.Mashabiki waisiburi.Yaani ni balaaa" alijinasibu Dully Sykes.
No comments:
Post a Comment