Saturday, June 23, 2012

JAMANI ANGALIENI UKATILI HUU

Wanawake bwana! Hebu fikiria unakaa na ujauzito miezi tisa halafu siku ya kujifungua unajifungua salama lakini unachukua uamuzi wa kishetini wa kuua kichanga asiye na hatia kama huyu ambaye aliokotwa jijini Mbeya eneo la Soweto.

No comments:

Post a Comment