BABA YOYOO UNABAKA?
Hebu cheki masai wa siku hizi! Yaani badala ya kuwinda Simba na kufuga ng'ombe wameingia mjini kuwinda totoz.Hapa baba yoyoo huyu alinaswa akila bata ndani ya ukumbi wa Mzalendo Pub Millenium Towers Kijitonyama akila malavidavi na binti.Alikuwa akichezea manyangaaaa!
No comments:
Post a Comment