MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA UAGIZAJI NA USAMBAZAJI MAGARI YA BE FORWARAD TANZANIA ISSAC MBINILE (KUSHOTO) AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA HAFLA FUPI YA KUMKABIDHI GARI AINA YA NOAH MSHINDI (KULIA). HAFLA HIYO ILIFANYIKA LEO MAKAO MAKUU YA KAMPUNI HIYO KATIKA BUSTANI ZA PALM RESDENCY , MKABALA NA HOSIPITALI YA SARATANI 'OCEAN ROAD' JIJINI DAR ES SALAAM
MSHINDI WA GARI HILO AKIONGEA WAKATI WA HAFLA HIYO
No comments:
Post a Comment