BODI YA UKAGUZI WA FILAMU TANZANIA IMEIPIGA STOP FILAMU IITWAYO NIMEKUBALI KUOLEWA YA MSANII DOKTA CHENI KUTOKANA NA KUWA NA VIASHIRIA VYA USHOGA.
BODI HIYO IMEFIKIA U&AMUZI HUO HIVI KARIBUNI NA KUMTAKA MSANII HUYO KUONDOA SINI ZOTE ZINAZOASHIRIA VITENDO VYA USHOGA PAMOJA NA KUBADILI MUONEKANO WA KAVA...
No comments:
Post a Comment