Tuesday, February 25, 2014

BE FORWARD YATOA ZAWADI YA GARI AINA YA NOAH LEO

AKIKABIDHI GARI HIYO LEO KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA KATIKA BUSTANI YA  PALM RESDENCY  MAKAO MAKUU YA  BE FORWARD TANZANIA  JIJINI DAR ES SALAAM MENEJA MKUU WA KAMPUNI HIYO  ISAAC MBINILE ALISEMA ALIWAHIMIZA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA FURSA AMBAZO KAMPUNI YAKE IMEKUWA IKITOA KUPITIA MTANDAO WAKE WA KIJAMII WA www.beforward.jp  AMBAPO WENGI WAMENUFAIKA NA ZAWADI KEMKEM HASA ZA MAGARI.
NAYE  AFISA MASOKO WA KAMPUNI HIYO  KOHEI SHIBATA ALISEMA KAMPUNI YAKR IMIJIDHATITI KATIKA KUTOA HUDUMA BORA NA NAFUU ZA UAGIZAJI NA USAMBAZAJI MAGARI BARANI AFRIKA NA KUWATAKA WATANZANIA KUITUMIA KAMPUNI HIYO.
MSHINDI WA GARI HIYO BW. MARKO HINGI ALIISHUKURU KAMPUNI HIYO KWA KUMKABIDHI  GARI  NA KWAMBA ATAITUMIA KAMA GARI YA WAGONJWA 'AMBULANCE' KWAAJILI YA KUSAIDIA KINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO HASA KWA MAENEO YA VIJIJINI.
BE FORWARD  INATAJWA KUWA KAMPUNI BORA ZAIDI NCHINI  KATIKA NYANJA YA UAGIZAJI MAGARI KUTOKA  JAPANI NA KUYASAMBAZA  KATIKA NCHI NYINGI  AFRIKA ZIKIWEMO ZAMBIA, KENYA, UGANDA, CONGO NA MALAWI.
JUMLA YA MAGARI  25 YAMETOLEWA NA KAMPUNI HIYO IOLI YAWEZE KUSHINDANIWA AMBAPO  TANZANIA IMNEPENDELEWA KWA KUPEWA MAGARI MAWILI  LIKIWEMO GARI LILILOTOLEWA LEO. HIVYO NI FURSA YA KIPEKEE KWA WATANZANIA KCHANGAMKIA ZAWADI HIZO KWA KUINGIA KATIKA MTANDAO  WA www.beforward .jp


1 comment:

  1. Titanium TV | TITIAN TOTO
    In titanium connecting rod its last twenty-three leatherman charge titanium years, the TV series titanium pickaxe terraria “Titan is a titanium drill bits for metal timeless performance created titanium bike in the mid-1970s. It's one of the most enduring shows

    ReplyDelete