Friday, January 3, 2014

WATU WAWILI WAMEFUKIWA NA KIFUSI HUKOARUSHA WAKATI WAKICHIMBA MADINI YA MORAMU. SERIKALI IMEAGIZA KUYAFUNGA MACHIMBO HAYO PAMOJA NA KUHAKIKI KAMA NI HALALI AU LAH..MKUU WA MKOA HUO MAGGESA MULONGO AMEFIKA ENEO LA TUKIO NA KUAGIZA HATUA ZA HARAKA KUCHUKULIWA

No comments:

Post a Comment