Saturday, January 4, 2014

UCHAGUZI MKUU WA BONGO MUVIE UNAENDELEA HIVI SASA LEADERS CLUB KINONDONI JIJINI DAR

 Mgombea nafasi ya uenyekiti Dokta Cheni akiingia viwanja vya Leaders Club tayari kwa uchaguzi
 Dokta Cheni akisalimiana na Mwandishi wa Habari Mwandamizi wagazeti la Tanzania Daima Khadija Kariri  anaye watazama pembeni ni Michuzi Junior Mdau
Wagombea wa  nafasi ya uenyikiti Dokta Cheni na Steave Nyerere wakijadiliana jambo nje ya chumba cha uchaguzi

No comments:

Post a Comment