Friday, January 3, 2014

TUMEUONAAAA!2014

Staa wa muvi na muziki Baby Madaha (kulia) akiwa ametokelezea na wasanii wenzake katika kiota cha burudani cha Instagram Pub zamani kwa Anti Ezekiel maeneo ya Kinondoni Biafra Dar es Salaam wakati wa mkesha wa Mwaka Mpyaaa! Cheki totoz hizoooo

No comments:

Post a Comment