Sunday, January 26, 2014

TAJI AMBAYE NI KAKA YAKE AMANI AKIMPONGEZA MDOGO WAKE KWA HATUA KUBWA YA KUANDAA KITABU CHAKE CHA SAFARI YA NDOTO HATIMAYE KUKIZINDUA. TAJI ALIKINUNUA KITABU HICHO KWA SHILINGI MILIONI MOJA KAMA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MDOGO WAKE

No comments:

Post a Comment