Wadau amini usiamini. Huyu jamaa anayekata mauno alikuwa akiitwa Anti Asu. Alikuwa ni shoga maarufu sana hapa Bongo.Hivi karibuni alitangaza kuokoka.kuachana na ufurauni huo na kumrudia Mungu wake. Yuko karibuni kuoa. Hivi ninavyotuma hii picha yuko mkoani Iringa kujitambulisha kwa wakwe zake.Jamaa anasema yuporijari na lazima azalishe. Siku hizi anajiita Amosi. Siyo Anti Asu tena.
No comments:
Post a Comment