Friday, January 3, 2014

RAIS WA MASHARO BARO BOB JUNIOR



Picha Juu msaanii na prodyuza nyota wa muziki Bongo Rahimu Rumy Nanji 'Bob Juinor ' Mr. Choclate Fravour Rais wa  Masharobaro  akisali kabla ya kula.
Picha ya piliakianza safari kuelekea Mwanza kugonga Bonge la Shoo pale CCM Kirumba kama anavyoonekana akikata mauno. Duuh! Mwanaumeee! Hilo unooooo!

No comments:

Post a Comment