Friday, January 3, 2014

NIKIWA MWANZA NILITEMBELEA NYUMBANI KWA KINA DUDU BAYA



Hapa ndiyo nyumbani alikozaliwa yule mwanamuziki maarufu nchini Godfrey Tumaini Dudu Baya a.k.a Dudu zuri na aliyekifua  wazi ni mtoto wake kipenzi aitwaye Willy alikiwa akimtaja sana kwenye nyimbo zake akisema 'Mwanangu Willy'. Chini kabisa ndipo msosi unaposababishwa. Big Up Dudu Baya japo sikukuta Home pande za Kisesa

No comments:

Post a Comment