Friday, January 17, 2014

MUVI ZA ASILI

Haya nimaandalizi ya filamu kali ya kifalme iitwayo Chola Acholile. Mtumzima mzee Charles Magali ndiyo kinara wa muvi hii ambayo imeshirikisha wasanii kibao chipkizi wenye uwezo wa kuigiza kiasili.

No comments:

Post a Comment