Friday, January 3, 2014

BOB JUOR NA WAREMBO BALAA KUBWA




Mtu mzima Bob Juonior ameteta na blog hii jijini Dar kuwa baada ya kuvunjika kwa ndoa yake mwaka jana sasa yukohuru kabisa kuponda raha hususan  kujichanganya na warembo wakaliiiii.Amesema wakati yuko ndoani watoto kama hawa alikuwa akiwakimbia lakinihivi sasa ni fimbo kwa kwenda mbele.

No comments:

Post a Comment