Mtu mmoja amenguka na kufia kwenye mfereji wa maji machafu huko karibu na kiwanda cha bia cha Serengeti Temeke jijini Dar es Salaam. Raia waliuambia mtandao huu kuwa mtu huyo alitereza na kuangukia mferejini kisha kusombwa na maji.Jitihada za kumuokoa mtu huyoakiwa hai zilishindikana
No comments:
Post a Comment