Wednesday, August 1, 2012

MSHIKAJI ANAITWA BOND BIN SINNAN NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI ANT LULU


Zikiwa zimepita wiki mbili tangu aanze kutangaza kipindi chake

kijulikanacho kwa jina la "Action and Cut" Tayari ameenza kujizolea melfu ya mashabiki kutokana na ubora wa kipindi hicho kinachorushwa hewani na kituo cha Channel Tenn kila siku za Jumatatu saa 3:30 za usiku.

Mashabiki wengi walioongea na Sani walisema" Huyu kaka anakipaji sana cha kutangaza licha ya kipindi chake kuwa na mvuto na machanganuo wa kuhusu filamu zetu lakini pia anamudu kutangaza jaman" Walisema wakinadada na kuongeza kuwa alikuwa wapi kuwapa burudani za namana hiyo!


1 comment: